Sunday, 11 February 2018

WATAKIWA KUMCHAMGUA MBUNGE ATAKAELETA MAENDELEO

Na Bahati Chume SIHA

Wananchi Wa kata ya miti mirefu wilayani Siha mkoani Kilimanjaro wametakiwa kumchagua Mbunge atayeleta Maendeleo.  



Akizungumza  wakati Wa kumnadi mgombea umbunge tiketi ya Cuf Jimbo la siha Masudi  Omar ambae ni Naibu Mkurungenzi Wa ulinzi na usalama Cuf taifa aliwataka wananchi kuwa na mchanganuo Wa chama gani kinafaa.

"Sisi Cuf tumekuja na hoja ya kuwaletea Maendeleo pindi mtakapo tupa  dhamana ya kuongoza Jimbo hili"amesema Masud.

Ameongeza kwakusema kuwa "kwenye Jimbo chili ndani ya miaka miwili wameshindwa kuleta maendeleo tuchagueni muone mabadiliko, Wameshindwa kuleta Maendeleo ya kweli na kuanza kulumbana kwenye vikao vya madiwani wao".

Kwa upande wake mgombea umbunge Wa Jimbo hilo Tumsifueli Mwanr alitaka kuchaguliwa ili kuwaleteo Maendeleo wananchi.
Alisema akichaguliwa ataleta Maendeleo na vipaumbele vitatu ambavyo ni Elimu  kilimo na maji.

No comments:

Watumiaji wa Barabara Watakiwa Kutii Sheria za Usalama

Mkuu wa Kitengo cha Usalama barabarani Mkoa wa Kilimanjaro Mrakibu Msaidizi wa Polisi Sauda Mohamed akizungumza na wananchi kwenye ...