By Praygod munisi
Leo January 9, 2018 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli ametangaza kumteua Kamishina mpya wa Madini ambaye pia atasimama kama Mtendaji Mkuu wa Tume ya Madini.
President Magufuli ametangaza uamuzi huo katika hafla iliyofanyika
Ikulu Jijini DSM ya kumuapisha Mh. Dotto Biteko kuwa Naibu Waziri wa
Madini. Ambapo amemteua Prof. Shukuruni Elisha Manya kuwa Kamishina wa
Madini.
“Nimeambiwa Kamishina wa Madini ni tatizo inawezekana yupo hapa, Nimeamua kumteua Prof. Elisha Manya atakuwa Kamishina wa Madini na ndo atakuwa Mtendaji Mkuu wa Tume ya Madini.”- President Magufuli
“Nimeambiwa Kamishina wa Madini ni tatizo inawezekana yupo hapa, Nimeamua kumteua Prof. Elisha Manya atakuwa Kamishina wa Madini na ndo atakuwa Mtendaji Mkuu wa Kamishina ya Madini.”- President Magufuli#