![]() |
Moja ya Mabweni katika Shule ya Sekondari Harambee Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro |
Na Riziki Lesuya
HAI
Naibu Waziri
Ofisi ya Rais TAMISEMI George Kakunda amefurahishwa na kuridhishwa na usimamizi
wa miradi ya maendeleo Wilayani Hai na kumpongeza Mkurugenzi Mtendaji Yohana Sintoo
kwa usimamizi mzuri unaoendana
na thamani ya fedha iliyotumika.