Thursday, 1 February 2018

PICHA: WAJUMBE WA KAMATI KUU YA CCM WILAYA YA HAI WALIPOFANYA ZIARA KATIKA KITUO CHA RADIO BOMA HAI FM KILICHOPO WILAYANI HAI KILIMANJARO.

Mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi CCM Wilaya Ya Hai Bw Wang'uba Maganda Alipotembelea kituo cha Radio Boma Hai Fm.

 Afisa Habari Wilaya Ya Hai Bi Riziki Lesuya akitoa maelekezo kwa wajumbe wa ccm Hai katika chumba cha studio ya kurusha matangazo.
 Mwenyekiti wa U.W.T Wilaya Ya Hai Bi.Ester Serey kuliaakizungumza jambo wakati wa ziara.
 Wajumbe wa Kamati kuu Ya CCM wilaya wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watumishi wa Radio Boma Hai.


Watumiaji wa Barabara Watakiwa Kutii Sheria za Usalama

Mkuu wa Kitengo cha Usalama barabarani Mkoa wa Kilimanjaro Mrakibu Msaidizi wa Polisi Sauda Mohamed akizungumza na wananchi kwenye ...