Na praygod munisi
Rais wa Uganda Kaguta Museveni leo
Januari 4, 2018 amemuandikia ujumbe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kumpa salamu za mwaka mpya pamoja na
kuzungumza juu ya ushirikiano wa nchi hizo mbili.
Mkuu wa Kitengo cha Usalama barabarani Mkoa wa Kilimanjaro Mrakibu Msaidizi wa Polisi Sauda Mohamed akizungumza na wananchi kwenye ...