Sunday, 4 February 2018

WATAKIWA KUTUMIA VIZURI TEKINOLOJIA YA TEHAMA KWA SHUGHULI ZA MAENDELEO

Na Elisha Eliakimu  HAI

Katibu tawala wilaya ya Hai Bi Upendo Wela amewataka mahakimu kutumia vizuri tekinolojia ya tehama hususani mitandao ya kijamii  katika kufanya shughuli zenye maendeleo.

Watumiaji wa Barabara Watakiwa Kutii Sheria za Usalama

Mkuu wa Kitengo cha Usalama barabarani Mkoa wa Kilimanjaro Mrakibu Msaidizi wa Polisi Sauda Mohamed akizungumza na wananchi kwenye ...