Rais John Magufuli amewasilisha fomu
ya tamko kuhusu rasilimali na madeni katika ofisi ya Sekretarieti ya
Maadili ya Viongozi wa Umma iliyopo Mtaa wa Ohio wilayani Ilala jijini
Dar es Salaam.

Mkuu wa Kitengo cha Usalama barabarani Mkoa wa Kilimanjaro Mrakibu Msaidizi wa Polisi Sauda Mohamed akizungumza na wananchi kwenye ...