Afisa Elimu Sekondari Wilaya ya Hai, Julius Kakyama akisisitiza jambo kwenye kikao cha walimu na wazazi wa wanafunzi. (Picha zote na Praygod Munisi) |
HAI
Wakuu washule za secondary za serikali wilayani Hai mkoani Kilimanjaro wametakiwa kuanzisha jukwaa la wazazi na waalimu ndani ya mwezi mmoja ikiwa ni sehemu ya majukumu yao ili kujadiliana mambo mbalimbali kuhusu maendeleo ya shule na wanafunzi.