Na praygod munisi

Ujumbe
huo wa Rais Museveni umewasilishwa Ikulu ya jijini Dar es Salaam na
Waziri wa Mambo ya Nje wa Uganda Mhe. Sam Kutesa ambapo pia Waziri huyo
amefanya mazungumzo na Rais Magufuli.

Mara kadhaa Rais Magufuli na Museveni wamekuwa wakinukuliwa wakisema kuwa Uganda na Tanzania ni ndugu jambo ambalo limepelekea nchi hizi mbili kuwa na ushirikiano wa karibu na kuchochea maendeleo ya nchi zote mbili kwa miradi mbalimbali ambayo imeanza ikiwepo mradi wa ujenzi wa bomba la mafuta ghafi kutoka Hoima nchini Uganda hadi bandari ya Tanga.

No comments:
Post a Comment