Saturday, 6 January 2018

Rais Magufuli amteua Naibu Waziri wa Madini

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amemteua,Mh. Doto Mashaka Biteko kuwa Naibu Waziri wa Madini. Biteko alikuwa Mwenyekiti wa Kamati Maalum ya Kuchunguza Biashara ya Tanzanite.

Soma taarifa kamili:

No comments:

Watumiaji wa Barabara Watakiwa Kutii Sheria za Usalama

Mkuu wa Kitengo cha Usalama barabarani Mkoa wa Kilimanjaro Mrakibu Msaidizi wa Polisi Sauda Mohamed akizungumza na wananchi kwenye ...